News and Events Change View → Listing

RAIS SAMIA NA UJUMBE WAKE WAREJEA NYUMBANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta baada ya kumaliza…

Read More

RAIS SAMIA AHUTUBIA MABUNGE YA KENYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amehutubia Mabunge Mawili ya Kenya (Bunge la Taifa pamoja na Bunge la Senate la Kenya) Jijini Nairobi tarehe 05, Mei, 2021.Akiwahutubia wabunge…

Read More

ZIARA RASMI YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN NCHINI KENYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya ziara rasmi ya siku mbili nchini Kenya kufuatia mwaliko wa mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta.Akiwa Ikulu…

Read More

MAKUBALIANO BAINA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA KENYA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Liberata Mulamula pamoja na Waziri wa michezo, utamaduni na urithi wa Kenya, Mhe. Amina Mohamed wakisaini moja ya makubaliano kati ya Tanzania na…

Read More

MHE. BALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA AKUTANA NA WAZIRI WA KAZI NA HIFADHI ZA JAMII WA KENYA

Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe. John Simbachawene alikutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Kazi na Hifadhi za jamii wa Kenya Mhe Simon Chelugui katika ofisi za Wizara hiyo zilizopo katika jengo la…

Read More

REST IN PEACE H.E DR. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI

The Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation is deeply saddened with the demise of The 5th President of United Republic of Tanzania H.E Dr. John Pombe Joseph Magufuli on 17 March, 2021. The…

Read More
Mhe Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe. Dkt. John Stephen Simbachawene amewasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta, Rais wa Jamhuri ya Kenya katika Ikulu ya Nairobi, siku ya terehe 02 Septemba 2020 

MHE.BALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO

Mhe Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe. Dkt. John Stephen Simbachawene amewasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta, Rais wa Jamhuri ya Kenya katika Ikulu ya Nairobi, siku ya terehe 02…

Read More

Global Tourism Body certifies Tanzania a safe zone for travellers

The World Travel and Tourism Council (WTTC) cleared Tanzania as a safe zone for travel following the coronavirus pandemic.WTTC noted that the clearance is an indication that Tanzania has rightly implemented…

Read More