Recent News and Updates

NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. DOTO MASHAKA BITEKO AWASILI NCHINI KENYA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko (Mb) akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA). Mhe. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati… Read More

MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ASHIRIKI HAFLA YA UZINDUZI WA KAMPENI YA MHE. RAILA ODINGA ANAYEWANIA NAFASI YA MWENYEKITI WA KAMISHENI YA UMOJA WA AFRIKA (AU)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Dkt. William Samoei Ruto, Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Salvar Kiir, Rais wa… Read More

Tanzania na Kenya zakubaliana kuimarisha ushirikiano katika Utalii

Ubalozi wa Tanzania mjini Nairobi umeshiriki Onyesho la Kwanza la Utalii katika Jumuiya ya Afrika Mashariki lililofanyika kwenye viwanja vya TGT Arusha tarehe 9 - 11  October 2021. Onyesho hilo limewaunganisha Wanunuzi wa… Read More

VISA

Details for visitors on how to apply for a visa to the United Republic of Tanzania.

Tanzania Citizen Services

Emergency services, passport guidance, and benefits details for Tanzania citizens in Kenya

Business Opportunities

Information on doing business, trade and investments in the Tanzania and in Kenya