News and Resources Change View → Listing

Tanzania na Kenya zakubaliana kuimarisha ushirikiano katika Utalii

Ubalozi wa Tanzania mjini Nairobi umeshiriki Onyesho la Kwanza la Utalii katika Jumuiya ya Afrika Mashariki lililofanyika kwenye viwanja vya TGT Arusha tarehe 9 - 11  October 2021. Onyesho hilo…

Read More

Balozi Dkt. John Simbachawene ashiriki Kongamano la Tisa la Biashara ya Nafaka

Tarehe 6 Octoba 2021, Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dkt. John Simbachawene ameshiriki Kongamano la Tisa la Biashara ya Nafaka linalofanyika Kwale, nchini Kenya na kutoa hotuba.

Read More

TANZANIA NA KENYA ZAFANIKIWA KUONDOA VIKWAZO 12 VYA BIASHARA VISIVYO VYA KIKODI

Tarehe 25 Septemba, 2021 Tanzania na Kenya zilifanikiwa kuondoa vikwazo 12 visivyo vya kikodi kati ya nchi hizo mbili.Hatua hii imefikiwa katika Mkutano wa Kamati ya Pamoja ya Biashara kati ya Tanzania na…

Read More

Mhe. Dkt. John S. Simbachawene ashiriki Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Viwanda

Tarehe 24 Sept 2021, Mhe. Dkt. John S. Simbachawene, Balozi wa Tanzania nchini Kenya alishiriki mazungumzo kati ya Katibu Mkuu Wizara ya Viwands Tanzania, Ndg. Dotto James na Katibu Mkuu Viwanda- Kenya Balozi…

Read More

TRAVEL ADVISORY NO. 8 OF 13th SEPTEMBER 2021

The Government of the United Republic of Tanzania (URT) through Ministries responsible for Health Mainland and Zanzibar has decided to elevate and enhance prevailing preventive measures against COVID-19…

Read More

Mheshimiwa Dkt. John S Simbachawene, Balozi wa Tanzania nchini Kenya , amewasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Mheshimiwa Rais wa Somalia

Mheshimiwa Dkt. John S Simbachawene, Balozi wa Tanzania nchini Kenya ambaye pia  anawakilisha nchini Somalia, amewasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Mheshimiwa Mohamed Abdullahi Farmaajo, Rais wa…

Read More

Naibu Katibu Mkuu atembelea Ofisi za Ubalozi wa Tanzania, Kenya

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Fatma Rajabu alitembelea ofisi za Ubalozi wa Tanzania mjini Nairobi  na kufanya mazunguzo na Balozi wa Tanzania…

Read More

Mhe. Balozi Dkt Simbachawene akabidhi Hati za Utambulisho kwa Rais wa Eritrea

Tarehe 15.7.2021 Balozi wa Tanzania ambaye yupo accredited nchini Eritrea aliwasilisha Hati za utambulisho kwa Rais Mhe Isaias Afwerki katika jengo la ofisi maalum ya Rais anapofanyia shughuli za kidiplomasia…

Read More