Tarehe 6 Octoba 2021, Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dkt. John Simbachawene ameshiriki Kongamano la Tisa la Biashara ya Nafaka linalofanyika Kwale, nchini Kenya na kutoa hotuba.