Mheshimiwa Dkt. John S Simbachawene, Balozi wa Tanzania nchini Kenya ambaye pia  anawakilisha nchini Somalia, amewasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Mheshimiwa Mohamed Abdullahi Farmaajo, Rais wa Shirikisho la Somalia, Ikulu ya Mogadishu, Somalia.

 

His Excellecy Dkt. John S. Simbachawene, Ambassador of Tanzania to the Republic of Kenya and also to the Federal Republic of Somalia has today presented is Letters of Credence to His Excellency Mohammed Abdullah Farmaajo, President of the Federal Republic of Somalia, at the State House @Villa Somalia in Mogadishu