News and Events Change View → Listing

BANDA LA TANZANIA LANGโ€™ARA

Ubalozi wa Tanzania nchi Kenya unapenda kuwapongeza Taasisi na Kampuni zote zilizoshiriki katika Banda la Tanzania na kuonesha umahiri mkubwa uliopelekea kupata Kombe la Banda Bora katika Maonesho ya Biashara…

Read More

Happy Mara Day! ๐ŸŒ๐Ÿ’ง

Today,  Tanzania and Kenya stand together at the Bomet Green Stadium in Bomet County for the 15th Mara Day Celebrations. Under the theme "Mara River, Diverse Lives: Keep It Thriving," communities are…

Read More

TAMONGSCO DELEGATION ON BENCHMARK VISIT TO KENYA

Today, Ms. Eliet Magogo, Chargรฉ dโ€™Affaires a.i. of the High Commission of the United Republic of Tanzania in Nairobi, received a delegation of about 30 Non-Government Education Providers from the Tanzania…

Read More

Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ofisi za Umoja wa Mataifa (UNON) nchini Kenya Mhe. Dkt. Bernard Y. Kibesse, ameungana na Mabalozi wa Nchi mbalimbali

Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ofisi za Umoja wa Mataifa (UNON) nchini Kenya Mhe. Dkt. Bernard Y. Kibesse, ameungana na Mabalozi wa Nchi mbalimbali pamoja na wageni…

Read More

Mhe. Dkt Benard Yahana Kibesse anakaribisha Rais wa Jamhuri wa Kenya Dkt. William Samoe Ruto nchini Jamhuri wa Muungano wa Tanzania

Mhe. Dkt Benard Yahana Kibesse anakaribisha Rais wa Jamhuri wa Kenya Dkt. William Samoe Ruto nchini Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, ambaye amehudhuria nchini kwa Ziara ya Kitaifa ya siku mbili.

Read More

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari, Ikuluni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es…

Read More

NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. DOTO MASHAKA BITEKO AWASILI NCHINI KENYA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko (Mb) akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA). Mhe. Naibu Waziri Mkuu na…

Read More