Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Dkt. William Samoei Ruto, Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Salvar Kiir, Rais wa Jamhuri ya Sudana Kusini na Mhe. Rigathi Gachagua, Naibu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya Mhe. Raila Odinga, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU), Ikulu ya Nairobi, tarehe 27 Agosti, 2024

  • Mhe. Raila Odinga, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kampeni za kuwania nafasi hiyo.
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya Mhe. Raila Odinga, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) ikiwa ni mwaliko kutoka kwa Rais wa Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto, Ikulu ya Nairobi, tarehe 27 Agosti, 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mhe. Dkt. William Samoei Ruto, Rais wa Jamhuri ya Kenya wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya Mhe. Raila Odinga, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU), Ikulu ya Nairobi, tarehe 27 Agosti, 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mhe. Dkt. William Samoei Ruto, Rais wa Jamhuri ya Kenya pamoja na Viongozi wengine wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya Mhe. Raila Odinga, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) ikiwa ni mwaliko kutoka kwa Rais wa Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto, Ikulu ya Nairobi, tarehe 27 Agosti, 2024