Mhe. Balozi Dkt Simbachawene akabidhi Hati za Utambulisho kwa Rais wa Eritrea
Tarehe 15.7.2021 Balozi wa Tanzania ambaye yupo accredited nchini Eritrea aliwasilisha Hati za utambulisho kwa Rais Mhe Isaias Afwerki katika jengo la ofisi maalum ya Rais anapofanyia shughuli za kidiplomasia…
Read More






