Mhe Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe. Dkt. John Stephen Simbachawene amewasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta, Rais wa Jamhuri ya Kenya katika Ikulu ya Nairobi, siku ya terehe 02 Septemba 2020