Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Fatma Rajabu alitembelea ofisi za Ubalozi wa Tanzania mjini Nairobi  na kufanya mazunguzo na Balozi wa Tanzania nchini kenya Dkt John Simbachawene.