Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta baada ya kumaliza ziara rasmi ya siku mbili nchini Kenya aliyoifanya tarehe 4 -5 Mei 2021 nchini Kenya