Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ahudhuria Mkutano wa Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR)
Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana alihudhuria Mkutano wa Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) uliofanyika tarehe 8 Septemba 2019 na kutoa Hotuba kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Mabalozi wa SADC nchini Kenya".…
Read More






