News and Events Change View → Listing

Balozi wa Tanzania nchini Shelisheli awasilisha Hati za Utambulisho

Balozi wa Tanzania nchini Shelisheli mwenye makazi yake nchini Kenya, Mhe. Dkt. Pindi Chana akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Shelisheli, Mhe. Danny Faure. Makabidhiano hayo yalifanyika…

Read More
Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara, Uwekezaji na Ushirikiano wa Kenya, Dkt. Chris Kiptoo na Mwenjeji wake Prof. Adolf Mkenda wakionyesha Sera ya Taifa ya Biashara ya Kenya wakati mkutano baina ya Watendaji Wakuu wa Serikali, Wafanyabiashara na Wazalishaji

Tanzania na Kenya zaondoleana vikwazo vya kibiashara

Serikali za Tanzania na Kenya zimekubaliana kwa pamoja kumaliza vikwazo vya kibiashara katika usafirishaji na uingizaji wa bidhaa katika mipaka baina ya nchi hizo mbili hatua inayokusudia kuimarisha…

Read More
The Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation, Dr Augustine Mahiga

Kenya, Tanzania remove Trade Restrictions

Nairobi. Tanzania and Kenya have held successful talks that will see the lifting of restrictions on imports from either country. The Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation, Dr Augustine…

Read More
Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. Dkt. Pindi Hazara Chana akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Uhuru Kenyatta kabla ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwenye Ikulu ya Eldoret tarehe 13 Juni 2017.

Balozi Pindi Channa Awasilisha Hati za Utambulisho

Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. Dkt. Pindi Hazara Chana akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Uhuru Kenyatta kabla ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwenye Ikulu ya Eldoret tarehe 13 Juni 2017.

Read More

Tanzania and Kenya to Cooperate in Infrastructure Development

Tanzania and Kenya have agreed to cooperate for infrastructure development to benefit the economies of both countries. The agreement was made during Tanzania’s President Magufuli meeting with Kenya’s…

Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mbalimbali wa Kenya mara baada ya kumaliza  mazungumzo yao na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.

Rais Dkt Magufuli Awasili Nchini Kenya, Apokelewa na Mwenyeji Wake Rais Uhuru Kenyatta

Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ambae yuko nchini Kenya kwa ziara rasmi amesema yuko nchini Kenya kwa ajili ya kuimarisha uhusiano mzuri ambao umekuwa tangu kitambo baina ya nchi hizi mbili.Dkt…

Read More

Notice to travellers planning to visit Tanzania

The United Republic of Tanzania – Vice President’s OfficeThe Government of Tanzania wishes to make an official note to travellers planning to visit Tanzania that from 1st June 2019 all plastic carrier…

Read More

Tanzanian ambassadors join efforts to promote tourism through Kilimanjaro expedition

Tanzanian ambassadors abroad have launched their annual Kilimanjaro expedition in a bid to promote tourism sector in the country. The Minister for Foreign Affairs and International Co-operation Hon. Bernard…

Read More