Chama cha Skauti Tanzania kinapenda kutoa taarifa kuwa skauti wake kutoka Mkoa wa Kilimanjaro wanatarajia kufanya ziara katika Mji wa Nairobi tarehe 04 Septemba 2019.