Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Liberata Mulamula pamoja na Waziri wa michezo, utamaduni na urithi wa Kenya, Mhe. Amina Mohamed wakisaini moja ya makubaliano kati ya Tanzania na Kenya Ikulu jijini Nairobi. Utiaji saini wa makubaliano hayo ulishuhudiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mhe. Uhuru Kenyata