Rais wa Kenya,Mhe. Uhuru Kenyatta akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania Nchini Kenya,Balozi Pindi Chana mbele ya Zawadi ya ndege aina ya Tausi mara baada ya kukabidhiwa zawadi hiyo. August 02,2019
RAIS, DKT MAGUFULI ATIMIZA AHADI YAKE KWA RAIS WA KENYA, MHE.UHURU KENYATTA
Balozi wa Tanzania Nchini Kenya Dkt. Pindi Chana akimkabidhi Rais wa Kenya, Mhe. Uhuru Kenyatta nyaraka ya zawadi maalum ya ndege aina ya Tausi kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. August 02,2019