Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana alihudhuria Mkutano wa Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) uliofanyika tarehe 8 Septemba 2019 na kutoa Hotuba kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Mabalozi wa SADC nchini Kenya". Mkutano huo ulijumuisha Taasisi za Wanawake, Asasi za Kiraia, Asasi za Vijana na Taasisi Binafsi