News and Resources Change View → Listing

Skauti Mkoa wa Kilimanjaro

SKAUTI WA MKOA KILIMANJARO KUTEMBELEA NAIROBI

Chama cha Skauti Tanzania kinapenda kutoa taarifa kuwa skauti wake kutoka Mkoa wa Kilimanjaro wanatarajia kufanya ziara katika Mji wa Nairobi tarehe 04 Septemba 2019.

Read More
Mhe. Martin Klepetko

Mabalozi wapya wa nchi mbalimbali watembelea Ofisi za Ubalozi

Mabalozi wa Czech na Zimbabwe wamtembelea Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ofisini kwake na kujadiliana kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano. 

Read More
Prof. Prof. Patrick Loch Otieno Lumumba alipotembelea Ofisi za Ubalozi

Prof. Patrick Loch Otieno Lumumba atembelea ofisi za Ubalozi

Prof. Patrick Lumumba amtembelea Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana Ofisini kwake na kujadiliana masuala mbalimbali.

Read More

Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ahudhuria Mkutano wa Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR)

Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana alihudhuria Mkutano wa Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) uliofanyika tarehe 8 Septemba 2019 na kutoa Hotuba kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Mabalozi wa SADC nchini Kenya".…

Read More

45th Dar es Salaam International Trade Fair (Sabasaba)

Tanzania Trade Development Authority (TanTrade) was established by the Tanzania Trade Development Authority Act No 4 of 2009 that repealed the Board of External Trade Act No. 5 of 1978 and the Board of…

Read More

Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana achukua rasmi uenyekiti wa Mabalozi wa kutoka nchi za SADC

Tarehe 30 Agosti 2019, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana alichukua rasmi uenyekiti wa Mabalozi wa kutoka nchi za SADC na kuongoza Kikao cha Mabalozi hao. Kikao kilifanyika katika Hoteli ya Sankara iliyopo Nairobi.…

Read More

The Swahili International Tourism Expo (S!TE)

“Swahili International Tourism Expo” (S!TE) is Tanzania’s leading International indoor Tourism Expo, innovated & hosted by Tanzania Tourist Board (TTB). The Expo will be held from 6th - 10th…

Read More
Rais wa Kenya,Mhe. Uhuru Kenyatta akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania Nchini Kenya,Balozi Pindi Chana mbele ya Zawadi ya ndege aina ya Tausi mara baada ya kukabidhiwa zawadi hiyo. August 02,2019

RAIS, DKT MAGUFULI ATIMIZA AHADI YAKE KWA RAIS WA KENYA, MHE.UHURU KENYATTA

RAIS, DKT MAGUFULI ATIMIZA AHADI YAKE KWA RAIS WA KENYA, MHE.UHURU KENYATTA

Read More